Abuse by Police and wife
Inbox
|
x
|
|||
|
11:49
am (1day ago)
|
|
||
|
Nimebahatika
kwa jinsi ya bahati tuu kugundua uwepo wa chama kinachotetea wanaume wanaofanyiwa
vitendo vya aibu na wake zao.
Kwa bahati mbaya zaidi jamii yetu imekuwa na
kawaida ya kuwasikiliza wanawake zaidi na kudhani ni wanyonge na hawawezi
kufanya ukatili.
Ukatili
niliofanyiwa ni kama ifuatavyo. Mwaka wa 2010 mwezi wa nane tarehe mbili askari
wa kituo cha tumbi walikuja kwenye kituo cha Kobili Picha ya ndege pamoja na
mke wangu wakakamata gari kubwa la biashara ambalo nilikua nimepaki hapo
wakaondoka nalo wakidai lilikua gari la wizi.
Nimekua nikiwadai Polisi hili gari tokea muda
huo nimefuatilia hadi ngazi za juu za Polisi hakuna anayeweza kuniambia kwanini
walishika gari langu. Nimewaandikia barua ya notice wamekaa kimya, Nimewaona
ana kwa ana waishia kudai wanachunguza tukio.
Ni
mwaka wa tatu sasa sina kazi sina jinsi ya kupata kipato nje ya hilo gari
ambalo lilikuwa ni ajira yangu,Uchunguzi wangu umenipelekea kwenye ukweli
kwamba nilifanyiwa kitendo cha ujambazi na Polisi.
Kuna
jinsi wanashindwa kumchukulia hatua huyu Polisi aliyefanya huu ujambazi. Pengine
kuna shinikizo kutoka nisipopajua. Kama kweli hili gari lilikua la wizi ni
mwaka wa tatu sasa kwanini hawamtaki mwizi wampeleke kwenye vyombo vya sheria.
Nina vielelezo vya kutosha nina omba msaada wenu.
Ninaitwa Present Kalalu
Kinyala
Reply
|
Forward
|
Hii imetumwa kwetu na mwenye Email iliyoko hapo juu tuifanyie kazi kama TAMRA |